Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2017

MZUMBE UNIVERSITY Undergaduate Applicants with Problems for 2017/2018 Academic year

This is to inform you that some applicants applied to join Mzumbe University and were recommended for admission into various degree programmes for the 2017/2018 academic year. Due to under listed problems i.e Missing AVN number, Names mismatching with their index  numbers or previously admitted They are required to contact Admission Support Team using the telephone numbers  0767086469, 0785164074, 0629130221 and 0710805711 so that their problems can be resolved. If your admission is named mismatch, kindly send your full names as they appear in form four certificate and the correct form four index number  (SXXX/XXX/YEAR)  to any of the numbers  0767086469,0785164074,0629130221 or  If your admission status is “Currently continuing student” Kindly send the evidence of discontinuation or deregistration from the university which you were previously admitted to  admission@mzumbe.ac.tz . Kindly mention your index number in the stipulated format in the...

MZUMBE UNIVERSITY Undergraduate Degree Applicants with Multiple Admission

Some applicants have been selected to join various degree programmes for the 2017/2018 academic year at Mzumbe University, but have also been selected by other Universities. The candidates are requested to confirm that they will join Mzumbe University by clicking to  Admission Confirmation Form   and fill the required information not later than 7 th  October 2017. Failure to confirm by the stipulated date will lead to cancellation of your admission at Mzumbe University. Click here to See the list.

SELECTIONS FOR UNDERGRADUATE STUDIES AT MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS) FOR THE ACADEMIC YEAR 2017/2018

kuyaona majina   <<BOFYA HAPA>>

Approved Selection (Additional Programmes JKN) For Undergraduate Studies 2017/18

Approved Selections Additional  Programmes JKN 

Maoni ya Zitto kuhusu Baraza jipya la Mawaziri

                    Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT -Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, ametoa maoni yake juu ya Baraza jipya la Mawaziri lililofanyiwa mabadiliko hii leo, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Kwenye ukurasa wake wa Facebook Zitto Kabwe ameandika ujumbe akiwapongeza Mawaziri hao walioteuliwa ambao wengi wao ni vijana, huku akiwataka kuchapa kazi kwa bidii. "Uteuzi wa vijana kushika nafasi za juu ni hatua nzuri, naona vijana wengi wamepewa majukumu makubwa, ninawaombea watekeleze majukumu kwa weledi mkubwa", ameandika Zitto Kabwe. Leo Rais Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kuongeza wizara mpya mbili, baada ya kuzivunja baadhi ya wizara ambazo zilikuwa na vitengo vingi.

Hawa ndo Mawaziri Wanne Waliotemwa Baraza Jipya la Mawaziri

Rais John Magufuli amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kwa kuwatema mawaziri wanne waliokuwepo kwenye baraza la awali. Mawaziri walioachwa ni aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe na nafasi yake kuchukuliwa na Hamis Kigwangwala aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Afya. Mwingine aliyeachwa ni aliyekuwa Waziri Maji na Umwagiliaji,  Mhandisi Gerson Lwenge ambaye nafasi yake imechukuliwa na Mbunge wa Katavi,  Mhandisi Issack Kamwele aliyekuwa naibu waziri wa wizara hiyo. Panga hilo limempitia pia aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura ambaye nafasi yake imechukuliwa na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Juliana Shonza. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani naye ametupwa nje na nafasi yake kuchukuliwa na Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga. Hii ni mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri tangu aingie madarakani.

Breaking News: Rais Magufuli Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri

Rais John Magufuli ametangaza baraza jipya la mawaziri lililoongezeka kutoka wizara 19 hadi 21. Wizara hizo zimeongezeka kutokana na wizara mbili kugawanywa huku nafasi za manaibu wapya zikiwa tano. Akitangaza leo Jumamosi baraza hili jipya, Rais Magufuli amesema Wizara ya Nishati na Madini imegawanywa mara mbili, sasa kutakuwa na Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini. Amesema hatua hiyo inatokana na umuhimu wa rasilimali hiyo kwa taifa na kwamba wizara hizo zote kila moja itakuwa na waziri na naibu wake. Rais Magufuli ametaja mabadiliko mengine katika Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambayo kwa sasa kutakuwa na Wizara ya Kilimo inayojitegemea na nyingine itakuwa ni Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Amesema sababu za kufanya mabadiliko hayo ni kutokana na umuhimu wa sekta hiyo inayoajiri asilimia 75 ya Watanzania nchini hivyo ni vyema ijitegemee. Kila wizara itakuwa na waziri na naibu wake. Mabadiliko mengine ni katika wizara ya Tamisemi baada ya kuweka nafasi mbili za manaibu waziri k...

VIDEO - KICHUPA KIPYA CHA RUIZANO KUPENDA BASI HIKI HAPA

TAZAMA  KICHUPA KIPYA KABISA KUTOKA KWA RUIZANO - KUPENDA BASI                                 

UDSM Important Announcement-Approved Selection For Undergraduate Studies 2017/18

Important Announcement Approved Selections-Additional Programmes JKN

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI AWAMU YA KWANZA 2017/2018

Ili kusoma zaidi soma kwa  << BOFYA HAPA >>

MAGAZETI YA LEO 6/10/2017

DODOMA UNVERSITY LIST OF STUDENT SELECTED DEGREE PROGRAM 2017/2018

Ili kuona majina bifya hapa <<BOFYA HAPA>>

THE MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY APPLICANTS SELECTED FOR ADMISSION INTO DEGREE PROGRAMMES – FIRST BATCH 2017/2018 ACADEMIC YEAR

APPLICANTS SELECTED FOR ADMISSION INTO DEGREE PROGRAMMES – FIRST BATCH 2017/2018 ACADEMIC YEAR    

MAJINA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA CHUO KIKUU CHA USAFIRISHAJI ( N I T ) 2017/2018

BOFYA HAPO CHINI KUONA MAJINA Selected Applicants to Join Bachelor Degree 2017/2018 Second Selection to Join Certificate and Diploma 2017/2018 Selected Applicants to Join Diploma and Certificates 2017/18 Application Form for Admission into Diploma Programmes 2017/18

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ARUSHA 2017/2018

SECOND ROUND APPLICATIONS FOR BACHELOR DEGREE  JOINING INSTRUCTIONS FOR BACHELORS DEGREE 2017-2018  FIRST ROUND SELECTED APPLICANTS FOR ACADEMIC YEAR 2017/ 2018 (BACHELOR DEGREE)