Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kuuawa kwa askari 14 DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma
salamu za rambirambi kufuatia kifo cha askari 14 wa Jeshi la JWTZ
kuuawa walipokuwa katika operesheni ya kulinda amani katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Comments