Skip to main content

Jeshi la Malaysia lipo tayari kuukomboa mji wa Jerusalem

Hishammuddin Tun Huseyin, Waziri wa ulinzi wa Malaysaia asema kuwa jeshi la lake lipo tayari wakati wowote kusaidia mji mtakatifu wa Jerusalem.

Taarifa zilizotolewa na jarida la Bernama nchini Malaysia limesema kuwa waziri wa ulinzizi Hishammuddin Tun Hüseyin aliyazungumza hayo katika mkutano wa chama  baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa serikali yake inatambua jiji la Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Waziri wa ullinzi wa Malaysia amenukiliwa akisema kuwa  ni wajibu kuwa tayari kwa hali yeyote  na tunasubiri uongozi ili kuukomboa mji wa Jerusalem.

Vile vile waziri wa huyo wa ulinzi amesema kuwa mzozo uliopo tuombe ili usiweze  kugeuka na kuwa  janga kubwa.

Comments