Skip to main content

Walichojadili RC Makonda na Kamanda mpya wa Polisi Dsm

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Lazaro Mambosasa aliekuja kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa baada ya kuteuliwa  hivi karibuni na IGP Simon Sirro.

 Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya UsalamaJijini Dar es Salaam na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.


Comments