Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa na Hawakuchaguliwa Kujiunga na Chuo cha Maji, Stashahada kwa mwaka 2017/2018 awamu ya kwanza
Chuo cha maji kimetoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa na ambao hawakufanikiwa kupata nafasi ya kusoma chuoni hapo kwa mwaka 2017/2018 kwa ngazi ya Stashahada (Diploma)
Chuo pia kinaendelea kuwakaribisha kuendelea na maombi chuoni hapo kwani NACTE wameongeza muda wa udahili hadi ifikapo tarehe 30/08/2018.
Kuona Majina<<bofya hapa>>
Kuona Majina<<bofya hapa>>
Comments